Umewahi kuchanganyikiwa unashindwa utaunga timu gani mkono juu kwa mkono mmoja unataka kuonyesha uzalendo wako kwa kuunga mkono bara lako, na kwa mkono mwingine unataka Mbappe afike fainali ndio wapatane na Messi kanuke.
Sijui kama kanuke ni Swahili sanifu lakini najua nimejipata kwenye bwawa ambalo ni muda tu utanitoa.
Najua mimi husema mara kwa mara kama Baba Moi ya kwamba kiswahili kitukuzwe lakini si waswahili tu ndio walisema, mwenda tezi na omo, marejeo ni ngamani. Wacha nirudi kwa rusungu. Back to factory settings 😉
So will Messi mess with Mbappe, or will Kylian kill Messi. It’s messy right now so let’s wait and see. And don’t I look like a good commentator? As long as Croatia is not involved because my those Vic, they sound like tongue twisters when uttered continuously and my aren’t those boys good in ball possession.
#StillTheChronicler.
#StillGatBall.